25 Teketezeni kwa moto sanamu zao za kuchonga za miungu yao. Msitamani fedha wala dhahabu yao, wala msiichukue na kuifanya mali yenu. Kufanya hivyo ni mtego kwenu na ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:25 katika mazingira