26 Msipeleke nyumbani kwenu kitu chochote cha kuchukiza, la sivyo mtalaaniwa kama hicho kitu. Ni lazima mkichukie na kukidharau kabisa kwa kuwa ni kitu kilicholaaniwa.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:26 katika mazingira