5 Lakini watendeni hivi: Mtazivunjilia mbali madhabahu zao na kuzibomoa nguzo zao. Na sanamu za Ashera mtazikatilia mbali na kuzitia moto sanamu zao za kuchonga.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:5 katika mazingira