Kumbukumbu La Sheria 7:6 BHN

6 Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:6 katika mazingira