Kumbukumbu La Sheria 8:15 BHN

15 Ndiye aliyewaongoza katika lile jangwa kubwa na la kutisha, lenye nyoka wenye sumu na nge; katika nchi ile kame isiyokuwa na maji, aliwatolea maji kutoka kwenye mwamba mgumu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 8

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 8:15 katika mazingira