Kumbukumbu La Sheria 8:18 BHN

18 Kumbukeni kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye awapaye uwezo wa kupata utajiri. Anafanya hivyo ili kuimarisha agano alilofanya na babu zenu mpaka leo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 8

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 8:18 katika mazingira