Kumbukumbu La Sheria 8:19 BHN

19 Lakini mkimsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuifuata miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu, nawaonyeni vikali leo hii kuwa hakika mtaangamia.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 8

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 8:19 katika mazingira