Kumbukumbu La Sheria 9:10 BHN

10 Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 9

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 9:10 katika mazingira