Kumbukumbu La Sheria 9:11 BHN

11 Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 9

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 9:11 katika mazingira