Mhubiri 4:4 BHN

4 Tena niligundua kwamba juhudi zote za mtu na ujuzi wake katika kazi vyatokana na kuoneana wivu. Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo.

Kusoma sura kamili Mhubiri 4

Mtazamo Mhubiri 4:4 katika mazingira