15 Kama vile binadamu alivyokuja duniani uchi toka tumboni mwa mama yake, ndivyo atakavyorudi uchi huko alikotoka. Hataweza kuchukua hata sehemu ndogo ya mapato ya kazi yake.
Kusoma sura kamili Mhubiri 5
Mtazamo Mhubiri 5:15 katika mazingira