10 Tena, nimewaona waovu wakizikwa, na watu waliporudi kutoka mahali patakatifu wanawasifu humohumo mjini walimotenda maovu yao. Hayo nayo ni bure kabisa.
Kusoma sura kamili Mhubiri 8
Mtazamo Mhubiri 8:10 katika mazingira