Mhubiri 9:10 BHN

10 Kila unachotaka kufanya kifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima huko kuzimu unakokwenda.

Kusoma sura kamili Mhubiri 9

Mtazamo Mhubiri 9:10 katika mazingira