Mhubiri 9:9 BHN

9 Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.

Kusoma sura kamili Mhubiri 9

Mtazamo Mhubiri 9:9 katika mazingira