15 Katika mji huo, alikuwapo maskini mmoja mwenye hekima, ambaye, kwa hekima yake aliuokoa mji huo. Lakini hakuna mtu aliyemkumbuka huyo maskini baadaye.
Kusoma sura kamili Mhubiri 9
Mtazamo Mhubiri 9:15 katika mazingira