16 Basi, mimi nasema, hekima ni bora kuliko nguvu, ingawa hekima ya maskini haithaminiwi, na maneno yake hayasikilizwi.
Kusoma sura kamili Mhubiri 9
Mtazamo Mhubiri 9:16 katika mazingira