Nahumu 1:12 BHN

12 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wake:“Ingawa Waashuru ni wengi na wenye nguvu,wao wataangushwa na kuangamizwa.Ingawa nimewatesa nyinyi watu wangu,sitawateseni tena zaidi.

Kusoma sura kamili Nahumu 1

Mtazamo Nahumu 1:12 katika mazingira