Nahumu 1:6 BHN

6 Nani awezaye kuikabili ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu?Nani awezaye kustahimili ukali wa hasira yake?Yeye huimwaga hasira yake iwakayo kama moto,hata miamba huipasua vipandevipande.

Kusoma sura kamili Nahumu 1

Mtazamo Nahumu 1:6 katika mazingira