Nahumu 1:9 BHN

9 Mbona mnafanya mipango dhidi ya Mwenyezi-Mungu?Yeye atawakomesha na kuwaangamiza,wala mpinzani wake hataweza kuinuka tena.

Kusoma sura kamili Nahumu 1

Mtazamo Nahumu 1:9 katika mazingira