7 Tumetenda mabaya mbele yako, hatujazishika amri zako, kanuni na maagizo yako uliyomwagiza mtumishi wako Mose.
Kusoma sura kamili Nehemia 1
Mtazamo Nehemia 1:7 katika mazingira