Nehemia 10:31 BHN

31 Ikiwa watu hao wanaleta bidhaa au nafaka kuuza siku ya Sabato, sisi hatutanunua siku hiyo wala siku nyingine yoyote iliyo takatifu. Mwaka wa saba hatutailima ardhi na madeni yote tutayafuta.

Kusoma sura kamili Nehemia 10

Mtazamo Nehemia 10:31 katika mazingira