Nehemia 11:13 BHN

13 pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:13 katika mazingira