Nehemia 11:15 BHN

15 Nao Walawi waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, na mwana wa Buni.

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:15 katika mazingira