Nehemia 11:19 BHN

19 Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:19 katika mazingira