32 Wengine walikaa Anathothi, Nobu, Anania,
33 Hazori, Rama, Gitaimu,
34 Hadidi, Seboimu, Nebalati,
35 Lodi na Ono lililokuwa Bonde la Mafundi.
36 Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini.