Nehemia 11:7 BHN

7 Watu wa ukoo wa Benyamini waliokaa mjini Yerusalemu ni: Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli na mwana wa Yeshaya.

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:7 katika mazingira