9 Yoeli, mwana wa Zikri, alikuwa ndiye mkuu wao; naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa mkuu wa pili wa mji.
Kusoma sura kamili Nehemia 11
Mtazamo Nehemia 11:9 katika mazingira