1 Ifuatayo ni orodha ya makuhani na Walawi waliorudi kutoka uhamishoni pamoja na Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na kuhani mkuu Yeshua.Makuhani: Seraya, Yeremia, Ezra,
2 Amaria, Maluki, Hatushi,
3 Shekania, Rehumu, Meremothi,
4 Ido, Ginethoni, Abiya,
5 Miyamini, Maadia, Bilga,