10 Yeshua alimzaa Yoyakimu, Yoyakimu alimzaa Eliashibu, Eliashibu alimzaa Yoyada,
11 Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua.
12 Yoyakimu alipokuwa kuhani mkuu, makuhani wafuatao walikuwa wakuu wa koo zao: Wa Seraya, Meraya; wa Yeremia, Hanania;
13 wa Ezra, Mehulamu; wa Amaria, Yehohanani;
14 wa Maluki, Yonathani; wa Shebania, Yosefu;
15 wa Harimu, Adna; wa Merayothi, Helkai;
16 wa Ido, Zekaria; wa Ginethoni, Meshulamu;