26 Watu hao waliishi wakati wa Yoyakimu, mwana wa Yeshua mwana wa Yosadaki na pia wakati wa Nehemia aliyekuwa mtawala wa mkoa; na hata wakati wa Ezra kuhani na mwandishi.
Kusoma sura kamili Nehemia 12
Mtazamo Nehemia 12:26 katika mazingira