Nehemia 12:31 BHN

31 Niliwakusanya viongozi wote wa Yuda kwenye ukuta na kutenga waimbaji katika makundi mawili makubwa yaliyoimba nyimbo za shukrani wakiwa katika maandamano. Kundi moja lilielekea upande wa kulia wa ukuta hadi kwenye Lango la Takataka.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:31 katika mazingira