Nehemia 12:35 BHN

35 Wazawa wafuatao wa makuhani walikuwa na tarumbeta: Zekaria, mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya aliyekuwa mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:35 katika mazingira