Nehemia 12:37 BHN

37 Kwenye Lango la Chemchemi walipanda ngazi kuelekea mji wa Daudi, wakaipita Ikulu ya Daudi, na kuelekea nyuma kwenye ukuta hadi kwenye Lango la Maji, mashariki ya mji.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:37 katika mazingira