Nehemia 12:42 BHN

42 Hao walifuatwa na Maaseya, Shemaya, Eleazari, Uzi, Yehohanani, Malkiya, Elamu na Ezeri. Waimbaji waliimba wakiongozwa na Yezrahia.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:42 katika mazingira