Nehemia 13:16 BHN

16 Watu wengine toka mji wa Tiro walileta samaki na bidhaa nyingine mjini Yerusalemu na kuwauzia watu wetu siku ya Sabato.

Kusoma sura kamili Nehemia 13

Mtazamo Nehemia 13:16 katika mazingira