Nehemia 13:18 BHN

18 Je, babu zetu hawakufanya uovu wa namna hii hii na kumfanya Mungu wetu kutuletea maafa pamoja na mji huu? Na bado mnaleta ghadhabu yake juu ya watu wa Israeli kwa kuikufuru Sabato.”

Kusoma sura kamili Nehemia 13

Mtazamo Nehemia 13:18 katika mazingira