Nehemia 13:2 BHN

2 Maana watu wa Israeli, walipokuwa wanasafiri toka Misri, hawakuwapa chakula wala maji ya kunywa, badala yake walimkodisha Balaamu kuwalaani watu wa Israeli, lakini Mungu wetu aligeuza laana yao kuwa baraka.

Kusoma sura kamili Nehemia 13

Mtazamo Nehemia 13:2 katika mazingira