Nehemia 13:25 BHN

25 Niliwakemea na kuwaapiza, hata nikawapiga baadhi yao na kuwavuta nywele zao. Niliwalazimisha kuapa kwa jina la Mungu, nikisema, “Binti zenu msiwaoze kwa vijana wao, wala binti zao wasiolewe na vijana wenu au na nyinyi wenyewe.

Kusoma sura kamili Nehemia 13

Mtazamo Nehemia 13:25 katika mazingira