Nehemia 13:28 BHN

28 Mmoja kati ya wana wa Yoyada, mwana wa kuhani mkuu Eliashibu, alioa binti Sanbalati kutoka mji wa Beth-horoni; kwa sababu hiyo nilimfukuza kutoka mbele yangu.

Kusoma sura kamili Nehemia 13

Mtazamo Nehemia 13:28 katika mazingira