Nehemia 13:9 BHN

9 Niliamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo, ndipo nikarudisha humo vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na tambiko za nafaka na ubani.

Kusoma sura kamili Nehemia 13

Mtazamo Nehemia 13:9 katika mazingira