16 Maofisa hawakujua mahali nilipokuwa nimekwenda wala nimefanya nini. Tena nilikuwa sijawaambia Wayahudi, makuhani, viongozi, wakuu wala wale watu ambao wangeifanya kazi ya kuujenga upya mji.
Kusoma sura kamili Nehemia 2
Mtazamo Nehemia 2:16 katika mazingira