Nehemia 2:19 BHN

19 Lakini Sanbalati, Mhoroni, Tobia, Mwamoni mtumishi wake, na Geshemu, Mwarabu, waliposikia, wakatucheka na kutuzomea wakisema, “Ni kitu gani hiki mnachotenda? Je, mnataka kumwasi mfalme?”

Kusoma sura kamili Nehemia 2

Mtazamo Nehemia 2:19 katika mazingira