Nehemia 2:9 BHN

9 Nilipowafikia wakuu wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate, niliwapa barua za mfalme. Mfalme alikuwa amenituma pamoja na maofisa wa jeshi na wapandafarasi.

Kusoma sura kamili Nehemia 2

Mtazamo Nehemia 2:9 katika mazingira