Nehemia 3:1 BHN

1 Basi Lango la Kondoo lilijengwa upya na Eliashibu, kuhani mkuu, pamoja na ndugu zake waliokuwa makuhani. Waliliweka wakfu na kutia milango yake; wakaliweka wakfu tangu Mnara wa Mia Moja hadi Mnara wa Hananeli.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:1 katika mazingira