Nehemia 3:17 BHN

17 Baada ya hao, Walawi waliendeleza ujenzi mpya wa ukuta. Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Rehumu, mwana wa Bani, na Hashabia, mkuu wa nusu ya wilaya ya Keila, alijenga upya sehemu inayohusu wilaya yake.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:17 katika mazingira