Nehemia 3:5 BHN

5 Sehemu inayofuata ilijengwa na watu kutoka mji wa Tekoa. Lakini viongozi wa mji wakakataa kufanya kazi ya mikono waliyoagizwa kufanya na wasimamizi.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:5 katika mazingira