Nehemia 4:12 BHN

12 Wayahudi waliokaa miongoni mwa adui zetu waliposikia maneno yao, walitujia mara kumi wakisema, “Watakuja toka kila mahali wanapokaa na kutushambulia.”

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:12 katika mazingira