15 Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake.
Kusoma sura kamili Nehemia 4
Mtazamo Nehemia 4:15 katika mazingira