Nehemia 4:21 BHN

21 Hivyo, tukaendelea kufanya kazi yetu na nusu ya watu wakishika silaha tangu mapambazuko hadi nyota zinapoonekana mbinguni.

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:21 katika mazingira