Nehemia 4:23 BHN

23 Hivyo ikawa mimi, ndugu zangu, watumishi wangu hata na walinzi waliofuatana nami, hatukuvua mavazi yetu; kila mmoja wetu akawa daima na silaha yake mkononi.

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:23 katika mazingira